Ziara ya akina mama wa RAAWU tawi la Tanga katika gereza la Maweni Tanga

Katika kuelekea siku ya Wanawake duniani (08/03/2023), wakina mama wa NIMR vituo vya Tanga na Amani walikwenda kupeleka msaada wa mahitaji muhimu kwa wafungwa katika gereza la Maweni Tanga siku ya tarehe 03/03/2023