Katika kuelekea siku ya Wanawake Duniani, jana tarehe 07/03/2023 wanawake wa kituo cha NIMR Tanga walitoa huduma ya upimaji wa afya na matibabu kwa wananchi wa Tanga mjini.
Wanawake wa kituo cha NIMR Tanga wakitoa huduma ya upimaji wa afya na matibabu kwa wananchi wa Tanga mjini katika kuazimisha siku ya wanawake duniani, march 8, 2023.Picha ya pamoja ya wanawake wa kituo cha NIMR Tanga katika maazimisho ya siku ya wanawake duniani, march 8, 2023.