May day 2023

Wafanyakazi wa NIMR kituo cha Tanga wameshiriki katika maadhimisho ya siku ya Wafanyakazi duniani tarehe 01.05.2023. Maadhimisho hayo yamefanyika kimkoa katika uwanjani wa Mkwakwani jijini Tanga.